Waajabu wewe waajabu ,mfalme wa wafalme
Nani kama wewe Bwana,Hakuna mwingine kama wwe Bwana
Pokea sifa Bwana pokea Sifa
Bwana Mungu nashangaa kabisa nikifikiri jinsi ulivyo
Mataifa yoote yatakusanyika mbele zako bwana mwokozi
Tunaomba uwepo wako uende nasi ewe Bwana wa majeshi tusikie
Siri ya machozi haya niwewe wajua
Umenitenda mema umenitenda mema umenitenda mema Yesu
MEANING OF GRACEElihim adonai yaaweh wewe ni mungu wa kweli
Comments